Programu ya Google One hukuwezesha kuhifadhi nakala ya data iliyo kwenye simu yako kiotomatiki na kudhibiti hifadhi yako ya wingu kwenye Google.
• Hifadhi nakala ya vitu muhimu vilivyo kwenye simu yako kiotomatiki, kama vile picha, anwani na SMS kwa kutumia nafasi yako ya hifadhi ya GB 15 isiyolipishwa iliyo kwenye kila akaunti ya Google. Ukivunja, upoteze au ubadilishe simu yako, unaweza kurejesha kila kitu kwenye kifaa chako kipya cha Android.
• Dhibiti nafasi ya hifadhi iliyopo kwenye akaunti yako ya Google inayotumika kwenye Hifadhi ya Google, Gmail na huduma ya Picha kwenye Google.
Sasisha upate uanachama wa Google One ili upate manufaa zaidi:
• Pata nafasi kubwa ya hifadhi kadri utakavyo ya kuweka kumbukumbu, faili dijitali na miradi yako muhimu. Chagua mpango unaokufaa zaidi.
Ilisasishwa tarehe
28 Apr 2025